Email: info@jkuz.go.tz | P.o.Box: 985 | Tel: 0242238030 | Fax: 0242232149
Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba9 (1) cha Sheria ya Uwakala wa Ulinzi wa JKU Zanzibar Namba 2 ya mwaka 2015, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua LT.COL. JABIR HAJI HAMZA kuwa MKURUGENZI MTENDAJI WA UWAKALA WA ULINZI WA JKU ZANZIBAR.
Uteuzi huo unaanzia tarehe 03 Agosti, 2017.
MKUTANO MKUU WA JKU WA MWAKA 2022-2023
WAHITIMU WA KOZI YA UONGOZI MDOGO INT 018/2023 JKU DUNGA KUONYESHA UKOMAVU WAO KATIAK MAFUNZO
HOSPITALI YA JKU YAENDELEZA KAMBI ZA UPASUAJI WA MAGONJWA YA KOO NA VINYAMA VYA PUA