Email: info@jkuz.go.tz  |  P.o.Box: 985  |  Tel: 0242238030  |  Fax: 0242232149


Logo
HABARI NA MATUKI0

KUPANDISHWA VYEO MAAFISA WA JKU

Created at 4 months ago

Mkuu wa JKUZ

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi  Kanali Makame Abdalla Daima amewataka Maafisa wa JKU kuengeza bidii katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuengeza ufanisi ndani ya JKU. Amesema hayo hapo hapo katika ukumbi wa mkutano Makao Makuu ya JKU Sateni wakati alipokua akiwavalisha vyeo   Maafisa 22 kutoka cheo cha Luteni kwenda cheo cha  kapteni. Amesema cheo ni dhamana hivyo kila mmoja anapaswa kutambua wajibu wake wa kazi sambamba na kua waaminifu katika majukumu ya ujenzi wa madarasa, ujenzi wa masoko ili kukuza maendeleo ya JKU na Taifa kiujumla

Aidha amesifu jitihada zinazochukuliwa na Maafisa wa JKU katika utekelezaji wa miradi mbali mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujen

oja na miradi mbalimbali ya majengo ya wajasiria mali

Kwa upande wake Mkuu wa Utawala wa JKU Luteni Kanali Haji Ali Ali amefafanua kua mashirikiano na uwajibikaji ndio njiaa pekee itakayopelekea mafanikio katika kila hatua

JKU YAFANYA KAZI USIKU NA MCHANA KATIKA UJENZI WA MRADI WA SOKO LA MWANAKWEREKWE

MKUU WA WILAYA YA MJINI AKABIDHIWA MRADI WA MAJENGO YA WAJASIRIAMALI NA JESHI LA KUJENGA UCHUMI


WASILIANA NASI
  • Email: info@jkuz.go.tz
  • P.O.Box: 985
  • Fax: 0242232149
  • Tel: 0242238030
WALIOTEMBELEA TOVUTI