Email: info@jkuz.go.tz  |  P.o.Box: 985  |  Tel: 0242238030  |  Fax: 0242232149


Logo
HABARI NA MATUKI0

MKUU WA JESHI LA KUJENGA UCHUMI KANAL MAKAME ABDALLA DAIMA AKIFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI WA KATI MKUPUO O8/2022 HAPO KATIKA KAMBI YA CHUO CHA UONGOZI JKU DUNGA

Created at 5 months ago

Mkuu wa JKUZ

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi Kanali Makame Abdalla Daima amewataka wanafunzi wa Chuo cha Uongozi JKU Dunga kuzingatia Mafunzo wanayopatiwa ili kuongeza ufanisi wa kazi zao. Ameyasema hayo wakati akifungua Mafunzo ya Uongozi wa kati Mkupuo wa 8/2022 uliofanyika katika Chuo cha Uongozi JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja. Amesema dhamira ya mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo na ufahamu wa majukumu yao ili kupeleka mbele maendeleo ya JKU na Taifa kwa Ujumla.            Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Mafunzo na Utendaji Kivita Meja Jafar Khamis Juma amesema kuwa jumla ya askari 429 wanatarajiwa kupata mafunzo mbali mbali yakiwemo Usalama na Utambuzi, Mbinu za kivita, Ujanja wa Porini, Huduma ya Kwanza pamoja na Uzalendo ambayo yatachukua muda wa Miezi Minne.

UJENZI WA SOKO LA MWANAKWEREKWE KUANZA RASMI `JKU YAWAJIBIKA IPASAVYO

JKU YAANZA KWA KASI UJENZI WA SOKO LA MWANAKWEREKWE


WASILIANA NASI
  • Email: info@jkuz.go.tz
  • P.O.Box: 985
  • Fax: 0242232149
  • Tel: 0242238030
WALIOTEMBELEA TOVUTI