Email: info@jkuz.go.tz | P.o.Box: 985 | Tel: 0242238030 | Fax: 0242232149
Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba9 (1) cha Sheria ya Uwakala wa Ulinzi wa JKU Zanzibar Namba 2 ya mwaka 2015, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua LT.COL. JABIR HAJI HAMZA kuwa MKURUGENZI MTENDAJI WA UWAKALA WA ULINZI WA JKU ZANZIBAR.
Uteuzi huo unaanzia tarehe 03 Agosti, 2017.
Mkuu wa JKU Kanali Daima Amewataka Maafisa na Wapiganaji Kuzidisha Mazoezi ili kulinda Afya zao
JKU Yaimarisha Huduma za Kinywa na Meno Katika Hospitali ya Makao Makuu ya JKU Saateni.
Mkuu wa JKU Awaongoza Maafisa na Wapiganaji pamoja na Vijana wa Kujenga Taifa katika mazoezi.