Email: info@jkuz.go.tz | P.o.Box: 985 | Tel: 0242238030 | Fax: 0242232149
Mchezaji wa JKU Sports Club akionyesha umahiri wake wa kusakata kabumbu
Timu ya JKU Imetangazwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kwa Mwaka 2017/2018 Baada ya Kuifunga Timu ya Jamuhuri Kwa Bao 3 -1 Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mkuu wa JKU Kanali Daima Amewataka Maafisa na Wapiganaji Kuzidisha Mazoezi ili kulinda Afya zao
JKU Yaimarisha Huduma za Kinywa na Meno Katika Hospitali ya Makao Makuu ya JKU Saateni.
Mkuu wa JKU Awaongoza Maafisa na Wapiganaji pamoja na Vijana wa Kujenga Taifa katika mazoezi.