Email: info@jkuz.go.tz | P.o.Box: 985 | Tel: 0242238030 | Fax: 0242232149
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suileiman akiuliza maswali katika Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki alipofanya uhakikisha na kujiridhisha na maandalizi ya Tamasha la Biashara akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa. Mh. Hemed Suleiman Abdulla ameelezea kuridhika kwake na matayarisho mazuri yanayoendelea kufanywa ya Tamasha la 7 la Biashara Zanzibar yakiwa ndani ya shamra shamra za Maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Matukufu ta Zanzibar kutimia Miaka 57.
SENSA KUHESABIWA JKU DIAMOND KWAYA
Mhe. Rais wa Zanzibar atembelea mabanda ya J K U katika Maonesho Ya siku ya Wakulima Duniani.