Email: info@jkuz.go.tz | P.o.Box: 985 | Tel: 0242238030 | Fax: 0242232149
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi Kanali Makame Abdalla Daima amewataka wanafunzi wa Chuo cha Uongozi JKU Dunga kuzingatia Mafunzo wanayopatiwa ili kuongeza ufanisi wa kazi zao. Ameyasema hayo wakati akifungua Mafunzo ya Uongozi wa kati Mkupuo wa 8/2022
Read moreMadaktari wa Hospitali ya Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU) wametakiwa kuongeza bidii katika kuboresha huduma za Afya ili kuwasaidia wapigan
Read moreMkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU) Kanal Makame Abdalla Daima aliwataka watendaji wa JKU kutekeleza Maazimio ya Mpangokazi ya mwaka 2023 ili kufikia maleng
Read moreUfunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kuwasilisha Mpango kazi wa JKU wa mwaka 2022 na 2023
JKU YAPATA SEMINA ELEKEZI KATIKA SKULI YA SEKONDARI JKU MTONI
JKU YA ZINDUA BOTI MPYA YA UVUVI KATIKA PWANI YA FUKUCHANI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
Ni kuratibu, kusimamia na kuendesha mafunzo endelevu hivyo basi kupitia JKU vijana wa Zanzibar waweze kujengeka kiuzalendo, kujitegemea na kujiamini.
Ni kuchangia kuimarisha uchumi kwa kutoa mafunzo ya uzalishaji, ufundi na kazi za amali, mila na utamaduni na uzalendo.